Programu

Programu ya Maendeleo ya Sekta ya Maji (WSDP), ilianza mwaka 2007. Ni programu kubwa inayohusu sekta ya maji inayotekelezwa barani Afrika. Utekelezaji wa programu hii umepangwa kwa awamu ndani ya muda wa miaka ishirini. Programu inajumuisha maeneo ya mijini na vijijini, katika usambazaji wa maji, usafi wa mazingira, kujenga uwezo katika sekta ya maji, na utunzaji wa rasilimalimaji na maendeleo yake.

Programu hii ya kuendeleza sekta ya maji ilianzishwa kwa mtazamo mpana wa utekelezaji, (a sector-wide approach to planning (SWAp), ikijumuisha Serikali na washirika wa maendeleo katika kupanga na utekelezaji.

Programu ilizinduliwa rasmi mwezi Machi, 2007 Moshi mkoani Kilimanjaro wakati wa Maadhimisho ya Wiki ya Maji.

Programu ya Maendeleo ya Sekta ya Maji II (WSDP II)

WSSP II: Procurement Complaint Redressal Mechanism

WSSP II: Proposed Timelines of Procurement Process

WSSP II: Procurement Plan, part 1

WSSP II: Procurement Plan, part 2

WSSP II: Procurement Manual 2021

WSSP II: Summary of WSSP II Awarded Contracts

WSSP II: Revised Project Implementation Manual Vol III; Procurement Manual WSSP II