Dhima

Kuimarisha upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama kwa wote na kuimarisha usimamizi wa rasilimali za maji katika kuhakikisha kuwa nchi ina maji ya kutosha kwa ajili ya usalama wa chakula na kuchochea ukuaji wa uchumi wa viwanda