Habari
Waziri Aweso Apokea Mabomba ya Bil. 7, Ataka Mradi wa Maji Mkinga–Horohoro Ukamilike Haraka
Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb), amesisitiza kuwa kazi ya ujenzi wa Mradi wa Maji wa Mkinga–Horohoro unaotekelezwa katika Wilaya ya Mkinga, mkoani Tanga, ni lazima ikamilike haraka iwezekanavyo na kuzingatia viwango.... Soma zaidi
Imewekwa: Jan 17, 2026
Tanzania na Korea Yafanya Mazungumzo Kutekeleza Mradi wa Maji wa Rufiji
Serikali ya Tanzania na Jamhuri ya Korea zimefanya mazungumzo kuhusu utekelezaji wa Mradi wa Maji wa Rufiji kama mpango wa muda mrefu wa kuboresha huduma ya majisafi na salama kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam.... Soma zaidi
Imewekwa: Jan 14, 2026
Ushirikiano wa Tanzania na Korea Kuimarisha Huduma ya Majitaka Dar es Salaam
Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb), amesema ushirikiano wa Serikali ya Tanzania na Jamhuri ya Korea utaimarisha huduma ya majitaka kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam na vitongoji vyake.... Soma zaidi
Imewekwa: Jan 14, 2026
Watendaji Sekta ya Maji Mwanza Wapongezwa
Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Kundo mathew amehitimisha ziara yake mkoani Mwanza na kuwapongeza watendaji wa sekta ya maji mkoani hapo kwa usimamizi mzuri wa miradi inayoendelea.... Soma zaidi
Imewekwa: Jan 12, 2026
Kampuni Ujenzi wa Mradi wa Majitaka Chato Kuchunguzwa
Naibu Waziri wa Maji Mhe. Mhandisi Kundo Mathew (Mb) ameelekeza Wizara ya Maji kuchunguza kampuni ya Peritus Exim PVT inayojenga bwawa la majitaka Chato.... Soma zaidi
Imewekwa: Jan 12, 2026
Wakazi Zaidi ya 64,000 Manyoni Kunufaika na Mradi wa Maji
Timu ya wataalamu kutoka Wizara ya Maji, Wizara ya Mambo ya Nje, wakandarasi pamoja na Afisa Balozi wa India nchini Tanzania, Rajnish Kumar, na Mwakilishi wa Serikali ya India kutoka Benki ya Exim, Bw. Ravi V. P. Singh imetembelea Mradi wa Maji wa Miji 28.... Soma zaidi
Imewekwa: Jan 08, 2026
