"

Albamu ya Video

#MAJI NI UHAI Usimamizi ubora wa Maji umepunguza magonjwa ya mlipuko Nchini

Wataalam wa ubora wa Maji nchini wanazungumzia jinsi walivyowezesha huduma ya Maji yenye ubora sahihi kwa wateja.

Imewekwa: Jun 10, 2021

Wimbo wa Maji kutoka kwa Peter Msechu

Wimbo wa Maji kutoka kwa Peter Msechu

Imewekwa: Jun 09, 2021

Maji Rasilimali muhimu kwa maendeleo ya Binadamu.

makala malumu inayozungumzia rasilimali Maji kwa maendeleo ya binadamu

Imewekwa: Jun 04, 2021

Tazama huduma ya majisafi ilivyoboreshwa Sumbawanga

Huduma ya maji Sumbawanga

Imewekwa: Jun 04, 2021

#MAJINIUHAI. Huduma ya maji Kateshi, Magugu imeimarika.

Huduma ya maji katika miji ya Kateshi na Magugu imeimarika.

Imewekwa: Jun 04, 2021

#MajiNiUhai Bonde la Ziwa Victoria watoa huduma ya maji shuleni Chato

Tazama huduma ya maji ilivyowezeshwa na Bonde la Maji la Ziwa Victoria wilayani Chato.

Imewekwa: Jun 04, 2021