Wasifu

Mhandisi Abbas Muslim

Mkurugenzi Msaidizi, Usanifu na Usimamizi wa Miradi

Mhandisi Abbas Muslim

Mhandisi Abbas ni Mhandisi mbobezi katika Sekta ya Maji kwa zaidi ya miaka 21 kuanzia kama ofisa hadi msimamizi wa miradi kwa zaidi ya miaka 21. Utendaji kazi wake umesababisha atambulike na taasisi nyingine zenye heshima ikiwemo Ofisi ya Mthibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Serikali (CAG), na Mamlaka ya Uthibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA).

Amesajiliwa na Bodi ya Wahandisi (ERB) kwa namba 2736 na leseni ya kufanya kazi Namba P-A 1279. Pia, ni mwanachama wa Chama cha Wasambaza Maji Tanzania (ATAWAS)