Wasifu

Mkurugenzi Msaidizi - Utawala
Jacob Herbert Kingazi
Jacob Herbert Kingazi ni mbobezi wa masuala anuwai kuhusu Utawala na Rasilimaliwatu kwa zaidi ya miaka 15 katika sekta ya umma. Amehitimu Shahada ya kwanza na Shahada ya pili za Usimamizi wa Rasilimaliwatu katika Chuo Kikuu cha Mzumbe.