Wizara
Hotuba Za Bajeti
Nifanyaje?
Maoni juu ya tovuti

Utekelezaji wa Mradi wa Maji wa Mto Kiwira Mbeya Washika Kasi
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mbeya imepokea sehemu ya bomba ya utekelezaji wa mradi wa Maji toka chanzo cha mto Kiwira.... Soma zaidi

Mkandarasi Bwawa la Itaswi-Kisaki Kondoa Kulipwa Madai Yake
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amemuagiza Mtendaji Mkuu Mfuko wa Maji wa Taifa, Haji Nandule kumlipa mkandarasi Canopies International (T) LTD anayetekeleza mradi wa ujenzi wa Bwawa la Itaswi-Ki...... Soma zaidi

Waziri Aweso Atoa Siku 14 DUWASA Kukamilisha Mradi Wa Maji Nala, Akagua Uchimbaji Visima Nkuhungu
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso (Mb) ametembelea na kukagua ujenzi wa miradi ya majisafi katika Kata ya Nala na Nkuhungu mkoani Dodoma ili kuona maendeleo ya ujenzi wa miradi hiyo.... Soma zaidi
RATIBA YA WIKI YA MAJI 22 MACHI 2025
RATIBA YA WIKI YA MAJI 22 MACHI 2025 Bofya ... Soma zaidi
Advertisements
Karibu
Mnakaribishwa kwenye Tovuti ya Wizara ya Maji. Maji ni hitaji la msingi na haki kwa binadamu wote. Tafadhali yathamini, kuongeza matumizi yake na kuhifadhi kwa ajili ya mazingira. Kumbuka kwamba, maendeleo huja tu wakati kuna maji mengi yenye ubora. ...Soma zaidi