Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mkataba wa Huduma kwa Wateja

Mkataba wa Huduma bora kwa Mteja ni ahadi za kimaandishi kati ya Taasisi na wateja wake. Serikali ya Tanzania imetambua umuhimu wa kutumia Mkataba wa Huduma bora kwa Mteja kama dhana ya kuleta mabadiliko chanya katika uwajibikaji wa watendaji wake kwa umma. Hatua hii ya Serikali kuanzisha mabadiliko ya utendaji kupitia Mkataba wa Huduma kwa Mteja, una lengo la kuboresha vyombo vyote vya umma kupitia Mkataba wa Huduma bora kwa Mteja.

Kwa maelezo zaidi bonyeza hapa