Habari

Waziri Mkuu Asisitiza Usimamizi Madhubuti wa Bonde la Mto Mara

Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa (Mb) amezitaka mamlaka zinazosimamia Bonde la Mto Mara kwa nchi za Tanzania na Kenya kuwa na usimamizi madhubuti wa mazingira ya Bonde la Mto Mara na matumizi ya rasilimali maji katika sekta zote za kiuchumi na kijamii ili kuleta tija kwa jamii.... Soma zaidi

Imewekwa: Sep 16, 2019

Waziri wa Maji Atoa Miezi Mitatu kwa Mamlaka za Maji Kufunga Dira za Maji kwa Wateja

Waziri wa Maji, Mhe. Profesa Makame Mbarawa (Mb) amezipa mamlaka za maji zinazotumia bei za kukadiria (flat rates) miezi mitatu kuhakikisha wateja wote wamefungiwa dira za maji ili kila mteja alipe gharama ya maji kwa kiasi alichotumia. ... Soma zaidi

Imewekwa: Sep 16, 2019

Profesa Mkumbo Aitaka RUWASA Kufikikisha Huduma ya Maji kwa Wananchi

Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkumbo amewataka watendaji wa Wakala wa Majisafi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) kufanya kazi kwa nidhamu, uadilifu na weledi ili kuwapatia wananchi wa vijijini majisafi na salama.... Soma zaidi

Imewekwa: Sep 10, 2019

Wakandarasi wenye Sifa Ndiyo Watakaopata Kazi za Miradi ya Maji

Waziri wa Maji Mhe. Prof. Makame Mbarawa (Mb) amesema wakandarasi wenye sifa na uadilifu ndiyo watakaopata kandarasi za ujenzi wa miradi miradi ya maji. ... Soma zaidi

Imewekwa: Sep 03, 2019

Profesa Mbarawa Akagua Miradi yenye Changamoto Mbulu

Waziri wa Maji, Mhe. Profesa Makame Mbarawa (Mb) akagua miradi yenye changamoto Mbulu... Soma zaidi

Imewekwa: Sep 01, 2019

Naibu Waziri Aweso Aridhishwa na Utekelezaji wa Mradi Mkubwa wa Maji Arusha

Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amemtaka mkandarasi kukamilisha ujenzi wa tenki la maji lenye ukubwa wa lita milioni kumi lililopo Seed Farm, Ngaramtoni ifikapo mwezi kumi na maji yaanze kujazwa ifikapo mwezi wa kumi na mbili mwaka huu katika tenki hilo linalojengwa katika Wilaya ya Arusha.... Soma zaidi

Imewekwa: Aug 22, 2019