Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Waziri wa Maji na Umwagiliaji azindua Bodi ya Maji ya Taifa

Waziri wa Maji na Umwagiliaji,  Inj. Gerson Lwenge, Mwenyekiti wa Bodi ya Maji ya Taifa, Inj. Christopher Sayi (kulia), Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Inj. Mbogo Futakamba (kushoto) na Mkurugenzi Rasilimali za Maji (Katibu wa Bodi ya Maji ya Taifa) (mwisho kushoto), Hamza Sadiki, wajumbe wa Bodi ya Maji ya  Taifa, viongozi na wataalamu wa Wizara