Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Waziri Lwenge azindua Bodi Mpya Chuo cha Maji

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Inj. Gerson Lwenge akimtunuku cheti kwa utendaji mzuri wa kazi aliyekuwa mmoja wa wajumbe wa bodi iliyomaliza muda wake, Inj. Frida Rweyemamu.