Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Waziri Lwenge azindua Bodi Mpya Chuo cha Maji

Swahili

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Inj. Gerson Lwenge amezindua Bodi Mpya ya Chuo cha Maji katika hafla iliyofanyika katika chuo hicho Ubungo.

Waziri Lwenge amezindua bodi hiyo, mara baada ya bodi iliyopita kumaliza muda wake wa miaka mitatu. Bodi hiyo teule inaundwa na Mwenyekiti, Prof. Felix Mtalo, Inj. Amani Mafuru, Dkt. Shija Kazumba, Dkt. Joyce Nyoni na Dkt. Ethel Kasembe.

Bodi hiyo ni ya tatu tangu Chuo cha Maji kuwa Wakala mwaka 2008.

 

Photo: