Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Waziri Kamwelwe afurahishwa na Utendaji wa Mamlaka ya Maji Moshi

Msafara wa Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isack Kamwelwe ukielekea kwenye Chanzo cha Maji cha Mang’ana katika uzinduzi wa Mradi wa Mang’ana.