Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tutaifanyia Mabadiliko Makubwa Tume Ya Umwagiliaji

Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso akizungumza na watumishi wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji katika kikao kilichofanyika katika ofisi za tume hiyo.