Maoni juu ya tovuti

51.81%
17.62%
30.57%
23.33%
26.67%
50.00%
40.82%
8.16%
51.02%
Generic placeholder image
Serikali Yawekeza Sh. Bilioni 45 Kwenye Miradi ya Maji Mtwara

Serikali imewekeza takribani kiasi cha Shilingi Bilioni 45 kwenye miradi ya maji mkoani Mtwara kwa lengo la kufikisha huduma ya maji mkoani humo kwa asilimia 100.... Soma zaidi

Imewekwa: 19th Oct 2018
Generic placeholder image
Profesa Mbarawa Akerwa na Wakandarasi Wababaishaji

Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa amekerwa na wakandarasi wababaishaji ambao wamekuwa wakichangia miradi mingi ya maji kuchelewa kukamilika au kujenga miradi yenye viwango duni na kuisababishia S...... Soma zaidi

Imewekwa: 18th Oct 2018
Generic placeholder image
Profesa Mbarawa Azindua Kampeni ya Utunzaji wa Vyanzo vya Maji

Waziri wa Maji, Mhe. Profesa Makame Mbarawa amezindua rasmi Kampeni ya Upandaji Miti kandokando ya vyanzo vya maji nchi nzima mkoani Mtwara kwa lengo la kuhakikisha vyanzo hivyo vinatunzwa na kuwa end...... Soma zaidi

Imewekwa: 17th Oct 2018
SERIKALI KUHAMASISHA SEKTA BINAFSI KUSHIRIKI KATIKA MAENDELEO YA SEKTA YA MAJI

Tunapenda kuujulisha umma kuwa Wizara ya Maji na Umwagiliaji kwa kushirikiana na Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji na Washirika wa Maendeleo wa Sekta ya Maji wam...... Soma zaidi

19th Jul 2018 Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.

Advertisements

NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA MAJI YA TAIFA

Katibu Mkuu, Wizara ya Maji anatangaza nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Maji ya Taifa (National Water Board). Bodi hii... Soma zaidi

Oct 08, 2018
NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA MAJI YA TAIFA

Katibu Mkuu, Wizara ya Maji na Umwagiliaji anatangaza nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Maji ya Taifa (National Water B... Soma zaidi

Jul 13, 2018
SERIKALI KUHAMASISHA SEKTA BINAFSI KUSHIRIKI KATIKA MAENDELEO YA SEKTA YA MAJI

TAARIFA KWA UMMA

Tunapenda kuujulisha umma kuwa... Soma zaidi

Jul 09, 2018

Karibu

Mnakaribishwa kwenye Tovuti ya Wizara ya Maji. Maji ni hitaji la msingi na haki kwa binadamu wote. Tafadhali yathamini, kuongeza matumizi yake na kuhifadhi kwa ajili ya mazingira. Kumbuka kwamba, maendeleo huja tu wakati kuna maji mengi yenye ubora. ...Soma zaidi

Vyanzo vya Maji Tanzania

Waliotembelea Tovuti