Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Shirika la Afya Ulimwenguni latoa Tani 50 za Dawa za Kutibu Maji

Swahili

Mwakilishi wa Shirika la Afya Ulimwenguni nchini Tanzania, Dkt. Richard Banda akizungumza katika hafla fupi ya makabidhiano ya tani 50 za Dawa za Kutibu Maji kwa Wilaya 83 nchini, ikiwa ni moja ya hatua za kuhakikisha wananchi wanapata huduma ya majisafi na salama, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Inj. Mbogo Futakamba (katikati).

Photo: