Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Serikali yatumia Bilioni 514 Kumaliza Tatizo la Maji Jijini Arusha

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (AUWSA), Mhandisi Ruth Koya wakipeana mikono na Mkandarasi-Kampuni ya Jiangxi Geo-Engineering ya China, Chen Xianghua mara baada ya kusaini mkataba wa utekelezaji wa mradi wa kuboresha huduma ya majisafi na usafi wa mazingira kwa Jiji la Arusha