Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

RASILIMALI ZA MAJI kwa Maendeleo yetu Toleo la TATU

Karibu katika Jarida letu la TATU liitwalo RASILIMALI ZA MAJI  Kwa Maendeleo Yetu. Kutokana na Umuhimu wa Rasilimali za Maji kwa Taifa letu la Tanzania, tutakuwa tunawaletea jarida hili kila baada ya miezi mitatu kuelezea taarifa na matukio mbalimbali kuhusu usimamizi na uendelezaji wa rasilimali za maji.

Bonyeza hapa kupata jarida la TATU la Rasilimali za Maji

Swahili