Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

RASILIMALI ZA MAJI Kwa Maendeleo Yetu Toleo la NNE

Karibu katika Jarida letu la NNE liitwalo RASILIMALI ZA MAJI  Kwa Maendeleo Yetu. Kutokana na Umuhimu wa Rasilimali za Maji kwa Taifa letu la Tanzania, tutakuwa tunawaletea jarida hili kila baada ya miezi mitatu kuelezea taarifa na matukio mbalimbali kuhusu usimamizi na uendelezaji wa rasilimali za maji.

Bonyeza HAPA kupata  jarida la NNE la Rasilimali za Maji

Swahili