Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

RASILIMALI ZA MAJI Kwa Maendeleo Yetu Toleo la kwanza

Karibu katika Jarida letu la mwanzo liitwalo RASILIMALI ZA MAJI  Kwa Maendeleo Yetu. Kutokana na Umuhimu wa Rasilimali za Maji kwa Taifa letu la Tanzania, tutakuwa tunawaletea jarida hili kila baada ya miezi mitatu kuelezea taarifa na matukio mbalimbali kuhusu usimamizi na uendelezaji wa rasilimali za maji.

Kwa Maelezo zaidi bonyeza hapa

Swahili