Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Randama ya Mpango ya Bajeti ya Wizara ya Maji wa Mwaka 2014/2015

Wednesday, December 17, 2014 - 13

Maji ni rasilimali muhimu katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa nchi yoyote. Upatikanaji wa maji safi, salama na ya kutosha una mchango mkubwa katika kuboresha maisha ya jamii husika na kusaidia katika ukuaji wa uchumi. Kama jitihada mojawapo ya kufikia Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 (Tanzania Development Vision - TDV) 2025, Mpango wa Taifa wa Maendeleo wa Miaka Mitano, umebainisha maji kama kipaumbele kimojawapo katika kukuza uchumi hasa kwa kuchangia katika uzalishaji wa umeme, kilimo cha umwagiliaji, viwanda na kupunguza umaskini.

Kupata Randama ya Mipango na Bajeti  Bonyeza hapa