Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Habari zilizopita

Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji Yatembelea Sudan

Kamati ya kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji jana imeanza ziara ya kutembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa chini ya Ushirikiano wa Nchi za Bonde la Mto Nile (Nile Basin Initiatives) nchini Sudan.

Historia fupi ya Miaka 50 ya Uhuru katika Sekta ya Maji

Historia ya Sekta ya Maji kwa kipindi cha miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara, kuanzia mwaka 1961 hadi sasa. Mafanikio na changamoto zilizoikabili Sekta ya Maji katika kipindi hicho na matarajio ya miaka 50 ijayo, kuanzia mwaka 2011, yameainishwa katika taarifa hii