Wizara ya Maji na Umwagiliaji

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Posted Date:
Tue, 05/23/2017 - 09

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Malawi zimekubaliana kuanzisha Kamisheni ya Kuendeleza Bonde la Mto Songwe.

Posted Date:
Tue, 12/30/2014 - 11

Utaratibu wa Kufanyiwa kazi ya Uchunguzi wa Ubora wa Maji kwenye Maabara za Maji zilizo Chini ya Wizara ya Maji- Idara ya Huduma za Ubora wa Maji 

Posted Date:
Wed, 12/17/2014 - 13

Maji ni rasilimali muhimu katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa nchi yoyote. Upatikanaji wa maji safi, salama na ya kutosha una mchango mkubwa katika kuboresha maisha ya jamii husika na kusaidia katika ukuaji wa uchumi.

Posted Date:
Tue, 10/28/2014 - 12

Kamati ya kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji jana imeanza ziara ya kutembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa chini ya Ushirikiano wa Nchi za Bonde la Mto Nile (Nile Basin Initiatives) nchini Sudan.

Posted Date:
Mon, 10/27/2014 - 14

Mkutano Mkuu wa 15 wa Mwaka wa Mamlaka za Majisafi na Usafi wa Mazingira Mijini unaojumuisha Mamlaka za ngazi ya Mikoa na Miradi ya Kitaifa utafanyika tarehe 29 – 31 Oktoba, 2014, katika Ukumbi uliopo Hoteli ya St. Gasper Dodoma

Posted Date:
Mon, 10/27/2014 - 14

Historia ya Sekta ya Maji kwa kipindi cha miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara, kuanzia mwaka 1961 hadi sasa. Mafanikio na changamoto zilizoikabili Sekta ya Maji katika kipindi hicho na matarajio ya miaka 50 ijayo, kuanzia mwaka 2011, yameainishwa katika taarifa hii

Posted Date:
Thu, 10/23/2014 - 15

Kaimu katibu mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Mbogo Futakamba leo amefungua warsha ya siku moja itakayojadili taarifa ya maandalizi ya rasimu ya andiko la mradi wa utunzaji vyanzo vya mito ya Zigi Mkoani Tanga na Ruvu Morogoro.

Posted Date:
Fri, 08/15/2014 - 11

Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji iliyowasilishwa hapa Bungeni kuhusu Wizara ya Maji, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu lipokee, lijadili na kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Kawaida na ya Maendeleo ya Wizara ya Maji kwa