Wizara ya Maji na Umwagiliaji

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Information and Communications Technologies (ICT) have led to sector Improvements in areas of knowledge and information management, human resources development and communication. Increasing capacity of using ICT at the Ministry of Water and Irrigation has further been empowered by the growth of a global network of computer networks known as the Internet. It has impacted the way business is conducted, facilitated learning and knowledge sharing and information flows.                                                                                                

Mwongozo huu umeandaliwa kwa kuzingatia mazingira ya Wizara ya Maji katika kulinda usalama wa taarifa na kumbukumbu za Serikali ikiwa ni utekelezaji wa Waraka wa Utumishi Na. 5 wa Mwaka 2009 na Mwongozo wa Matumizi Bora, Sahihi, na Salama ya Vifaa na Mifumo Menejimenti ya Utumishi wa Umma Julai 2012. Mwongozo unatokana na ukweli kwamba kuna ongezeko kubwa la matumizi ya TEHAMA katika kuboresha utendaji na utoaji wa huduma kwa wananchi.