Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mkutano Mkuu wa 15 wa Mwaka wa Mamlaka za Majisafi na Usafi wa Mazingira

Monday, October 27, 2014 - 14

Mkutano Mkuu wa 15 wa Mwaka wa Mamlaka za Majisafi na Usafi wa Mazingira Mijini unaojumuisha Mamlaka za ngazi ya Mikoa na Miradi ya Kitaifa utafanyika tarehe 29 – 31 Oktoba, 2014, katika Ukumbi uliopo Hoteli ya St. Gasper Dodoma
Msukumo (Thrust) wa Mkutano wa mwaka huu 2014 pamoja na mambo mengine ni Usimamizi wa Miundombinu ya Maji kwa Uendelevu wa Mamlaka za Majisafi na Usafi wa Mazingira Nchini “Management of Water Infrastructure for Sustainability of Urban Water Supply and Sanitation Authorities in Tanzania’’

Kwa taarifa zaidi bofya hapa