Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mkataba wa Huduma kwa Wateja

Mkataba huu wa Huduma kwa Mteja ni ahadi na makubaliano ya kimaandishi kati yetu, wadau pamoja na wateja wetu. Aidha, mkataba huu unataja masuala mbalimbali yanayohusu aina za huduma zinazotolewa na Wizara, ubora wake na viwango ambavyo tunaamini vitakidhi mahitaji na matarajio ya wadau na wateja wetu. Aidha, unaainisha maadili ya watumishi, haki ya wateja wetu na wajibu wao ili wapate huduma bora kulingana na matarajio yao. Lengo la kuwa na mkataba huu ni kuhakikisha kuwa Wizara inatoa huduma sahihi, bora na kwa wakati. 

Kusoma zaidi Mkataba wa Huduma kwa Mteja bonyeza HAPA