Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Kitengo cha Huduma za Sheria

Kitengo cha Huduma za Kisheria kinaongozwa na Mwanasheria Mkuu.

Kazi zake ni:

 Kutoa ushauri na misaada ya kisheria kwa Wizara kwa kutafsiri sheria, mikataba, makubaliano na mikataba ya manunuzi pamoja na nyaraka zote za kisheria.
 Inashiriki katika uandaaji wa miswada au sheria na sheria ndogo ndogo.
 Kusimamia mashtaka na kufuatilia kesi mahakamani pamoja na kutunza kumbukumbu za maamuzi ya mahakama.

Kupata Sheria za Maji bofya viunganishi vifuatavyo:

The Water Supply and Sanitation ACT

The Water Resources Management ACT

The Water Resources Management Act (Exploration and Drilling) Licensing Regulations, 2013

Subsidiary Legislation

The Water Resources Management Act 2009

The Water Supply and Sanitation Act, 2009

The Water Resources Management (Registration of Water Users Association)

The Water Resources Management (Water Abstraction, Use and Discharge)

The Water Resources Management (Procedure for Nomination of Board Members) Regulations 2010

The Water Supply and Sanitation (Registration of Community Owed Water Supply Organizations) Regulations 2009

The Water Supply and Sanitation Act (Cap.272) Regulations