Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Kitengo cha Fedha na Uhasibu

Idara ya Fedha na Uhasibu inaongozwa na Mhasibu Mkuu.

Kazi zake ni:

Mishahara:

 Uandaaji wa maliopo ya mishahara kwa wakati
Kuwasilisha makadirio ya mishahara ya watumishi.

Ofisi ya Malipo:

 Kupeleka orodha ya malipo hazina.
 Kukusanya hundi kutoka hazina.
 Kuhifadhi hundi na pesa taslimu.
 Kuandaa ripoti ya mwezi.
 Kutoa malipo ya pesa taslimu/Hundi kwa wafanyakazi au wateja/watoa huduma.
 Kuhifadhi orodha ya malipo.
 Kutunza daftari la malipo ya pesa taslimu.
 Kuandaa na kutoa malipo yote.

Mapato:

 Kukusanya mapato yote.
 Kusimamia mapato yote kulingana na kanuni na miongozo.
 Kukusanya kodi za mwaka, ada za maombi na malipo mengine.
 Kusimamia makusanyo ya mapato.

Pensheni:

 Kuandaa malipo ya pesheni kwa wakati.
 Kutuma kumbukumbu za pensheni.

Bajeti

 Kuandaa bajeti.
 Kusimamia matumizi.