Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Kauli ya Serikali Kuhusu Matatizo ya Uzalishaji Maji Katika Mtambo wa Maji wa Ruvu Juu

Monday, October 27, 2014 - 13

Utangulizi

Mheshimiwa Spika, tarehe 12 Mei, 2014 Mheshimiwa John Mnyika aliomba Mwongozo wa Spika kuitaka Serikali itoe Kauli Bungeni chini ya Kanuni ya 49 ya Kanuni za Bunge za Mwaka 2013 kueleza matatizo yanayoukabili Mtambo wa kuzalisha na kutibu maji kwa ajili ya Jiji la Dar es Salaam na maeneo ya DAWASA katika Mkoa wa Pwani.

Kupata Kauli hiyo bonyeza hapa