Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Inj. Mbogo Futakamba akisaini hati ya makubaliano

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Inj. Mbogo Futakamba akisaini hati ya makubaliano mara baada ya kukabidhiwa tani 50 za Dawa za Kutibu Maji kwa Wilaya 83 nchini na Mwakilishi wa Shirika la Afya Ulimwenguni nchini Tanzania, Dkt. Richard Banda (kushoto).