Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Hotuba ya Waziri akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara kwa mwaka wa fedha 2014/2015

Friday, August 15, 2014 - 11

Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji iliyowasilishwa hapa Bungeni kuhusu Wizara ya Maji, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu lipokee, lijadili na kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Kawaida na ya Maendeleo ya Wizara ya Maji kwa mwaka 2014/2015.

Kwa maelezo zaidi kupata hotuba hiyo bonyeza hapa.