Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Historia fupi ya Miaka 50 ya Uhuru katika Sekta ya Maji

Monday, October 27, 2014 - 14

Historia ya Sekta ya Maji kwa kipindi cha miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara, kuanzia mwaka 1961 hadi sasa. Mafanikio na changamoto zilizoikabili Sekta ya Maji katika kipindi hicho na matarajio ya miaka 50 ijayo, kuanzia mwaka 2011, yameainishwa katika taarifa hii

Kupata Historia ya Miaka 50 ya Uhuru bonyeza hapa