Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Matukio Yaliyopita

Waziri wa Maji Atembelea Mradi wa Longido

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isack Kamwelwe ametembelea Mradi wa Maji Longido, mkoani Arusha kufuatilia maendeleo ya utekelezaji wake, kwa lengo la kuhakikisha unakamilika kwa wakati na kumaliza kero ya maji kwa wakazi wa Longido.