Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Matukio Yaliyopita

Waziri Kamwelwe Akutana na Balozi wa Ujerumani Nchini

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Kamwelwe amekutana na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania, Dkt. Detlef Wachter na kuzungumzia ushirikiano baina ya nchi hizo mbili katika kuinua kiwango cha huduma ya maji na usafi wa mazingira nchini.