Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Matukio Yaliyopita

Taarifa kwa Umma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli, amezindua miradi ya upanuzi ya mtambo wa maji wa Ruvu Juu na ulazaji wa mabomba makuu katika kiwanja cha Ruvu Juu Mlandizi Mkoani Pwani.