Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Matukio Yaliyopita

TAARIFA KWA UMMA

Mradi wa Hifadhi ya Mazingira ya Ziwa Victoria Awamu ya Pili kwa kushirikiana na Kamisheni ya Bonde la Ziwa Victoria ambayo ni taasisi ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, imeandaa Kongamano la Utafiti wa Kisayansi la Bonde la Ziwa Victoria litakalofanyika kuanzia tarehe 15 – 16 Februari, 2017 katika