Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Dira na Dhamira

Dira 

Kuwa na huduma ya maji safi na salama iliyo endelevu, nafuu na ya kutosha kwa wananchi wote

Dhamira 

Kuhakikisha rasilimali za maji zinasimamiwa, zinaendelezwa na zinatumika kwa njia endelevu na shirikishi ili kukidhi mahitaji mbalimbali kwa kuweka mfumo madhubuti wa kitaasisi wa kusimamia rasilimali za maji; na kuboresha miundombinu ya usambazaji majisafi na uondoaji majitaka.