Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

DDCA Ikitumiwa Vizuri,Itakuwa Mwarobaini wa Changamoto ya Maji Nchini-Aweso

Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso akipokea maelezo kutoka kwa mtaalamu wa maabara ya ubora wa maji, Livingston Swila alipofanya ziara Chuo cha Maji (WDMI).