Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Dawati la Malalamiko

Je unaridhika na Huduma?

Je una maoni yoyote juu ya huduma tukupatiayo?

Je una malalamiko?

Tupo tayari kukusikiliza

Tafadhali njoo uongee nasi chumba Na.2 Jengo C, Au piga Na. +(22)2452068, au tuma barua pepe: mwananchi@maji.go.tz au malalamiko@maji.go.tz.  Utampata Ofisa ambaye yupo tayari kukusikiliza na kuhakikisha tunachukua hatua ili kukusaidia wewe!