Maoni juu ya tovuti

48.42%
19.00%
32.58%
22.58%
25.81%
51.61%
40.00%
10.00%
50.00%
Generic placeholder image
Tanzania Mwenyeji wa Mkutano wa 21 wa Baraza la Mawaziri wa Nchi za Bonde la Mto Nile za Ukanda wa Maziwa Makuu

Tanzania itakua mwenyeji wa Mkutano wa 21 wa Baraza la Mawaziri wa Maji wa nchi za Bonde la Mto Nile za Ukanda wa Maziwa Makuu -Nile Equatorial Lakes Council of Ministers Meeting (NELCOM). ... Soma zaidi

Imewekwa: 16th Nov 2018
Generic placeholder image
Profesa Mbarawa avunja Mikataba ya Wakandarasi wa Miradi ya Maji ya Lindi na Kigoma

Waziri wa Maji Mhe. Profesa Makame Mbarawa (Mb) amevunja mikataba miwili inayohusu kandarasi ya ujenzi wa miradi ya maji kwa kampuni mbili za kimataifa.... Soma zaidi

Imewekwa: 15th Nov 2018
Generic placeholder image
Mji wa Longido Kupata Majisafi na Salama kwa Asilimia 100

Mji wa Longido wenye idadi ya wakazi 16, 712 kupata majisafi na salama kutoka asilimia 15 ya sasa inayowafikia wananchi 2, 510 hadi kufikia asilimia 100... Soma zaidi

Imewekwa: 13th Nov 2018
SERIKALI KUHAMASISHA SEKTA BINAFSI KUSHIRIKI KATIKA MAENDELEO YA SEKTA YA MAJI

Tunapenda kuujulisha umma kuwa Wizara ya Maji na Umwagiliaji kwa kushirikiana na Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji na Washirika wa Maendeleo wa Sekta ya Maji wam...... Soma zaidi

19th Jul 2018 Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.

Advertisements

NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA MAJI YA TAIFA

Katibu Mkuu, Wizara ya Maji anatangaza nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Maji ya Taifa (National Water Board). Bodi hii... Soma zaidi

Oct 08, 2018
NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA MAJI YA TAIFA

Katibu Mkuu, Wizara ya Maji na Umwagiliaji anatangaza nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Maji ya Taifa (National Water B... Soma zaidi

Jul 13, 2018
SERIKALI KUHAMASISHA SEKTA BINAFSI KUSHIRIKI KATIKA MAENDELEO YA SEKTA YA MAJI

TAARIFA KWA UMMA

Tunapenda kuujulisha umma kuwa... Soma zaidi

Jul 09, 2018

Karibu

Mnakaribishwa kwenye Tovuti ya Wizara ya Maji. Maji ni hitaji la msingi na haki kwa binadamu wote. Tafadhali yathamini, kuongeza matumizi yake na kuhifadhi kwa ajili ya mazingira. Kumbuka kwamba, maendeleo huja tu wakati kuna maji mengi yenye ubora. ...Soma zaidi

Vyanzo vya Maji Tanzania

Waliotembelea Tovuti