Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

‘Ole Wenu Wezi wa Maji’-Naibu Waziri Aweso

Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa MORUWASA, Mhandisi Nicholaus Angumbwike kwenye mtambo mpya wa kusafisha na kutibu maji wa Mambogo, Morogoro