Wizara
Hotuba Za Bajeti
Nifanyaje?
Maoni juu ya tovuti

RUWASA Iringa Yang’ara na Mradi wa Maji Itagutwa
Mwenge wa Uhuru umekagua na kuzindua rasmi Mradi wa Maji wa Itagutwa, uliotekelezwa na Wakala wa Usambazaji Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) mkoa wa Iringa. Mradi huo ni sehemu ya juhudi z...... Soma zaidi

Mafunzo Elekezi kwa Waajiriwa Wapya ni Muhimu katika Kuimarisha Utumishi wa Umma
Wizara ya Maji kwa kushirikiana na Chuo cha Utumishi wa Umma imeratibu mafunzo elekezi kwa waajiriwa wapya wa wizara hiyo. Mafunzo hayo yamehusisha watumishi wapya 60 na kufanyika katika Mji wa Serika...... Soma zaidi

Ushirikiano wa Tanzania na Qatar Kuimarisha Huduma ya Majitaka Nchini
Mamlaka za Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Dodoma (DUWASA), Mtwara (MTUWASA) na Ubalozi wa Tanzania Nchini Qatar zimeahidiwa ushirikiano katika eneo la Usafi wa Mazingira hususa...... Soma zaidi
RATIBA YA WIKI YA MAJI 22 MACHI 2025
RATIBA YA WIKI YA MAJI 22 MACHI 2025 Bofya ... Soma zaidi
Advertisements
Karibu
Mnakaribishwa kwenye Tovuti ya Wizara ya Maji. Maji ni hitaji la msingi na haki kwa binadamu wote. Tafadhali yathamini, kuongeza matumizi yake na kuhifadhi kwa ajili ya mazingira. Kumbuka kwamba, maendeleo huja tu wakati kuna maji mengi yenye ubora. ...Soma zaidi