Wizara
Hotuba Za Bajeti
Nifanyaje?
Maoni juu ya tovuti

Ujenzi wa Bwawa la Songwe Lawakutanisha Viongozi wa Serikali
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Mwajuma Waziri, ameongoza kikao muhimu cha Makatibu Wakuu kujadili hatua za utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Songwe Chini pamoja na Mtambo wa Kuzalish...... Soma zaidi

Wizara ya Maji Yafanya Kikao cha Majadiliano Kuhusu Teknolojia ya Onyo la Mapema
Wizara ya Maji imefanya kikao cha majadiliano na Shirika la GSMA kuhusu ushirikiano katika teknolojia ya kisasa katika kuimarisha mifumo ya onyo la mapema nchini, Cell Broadcast.... Soma zaidi

RUWASA na EACOP Zafikia Makubaliano Kufikisha Huduma ya Maji Wakazi 27,000
Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) umesaini mkataba na Shirika la Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kwa ajili ya ujenzi wa Mradi wa Maji katika Vijiji Tisa (9) wen...... Soma zaidi
RATIBA YA WIKI YA MAJI 22 MACHI 2025
RATIBA YA WIKI YA MAJI 22 MACHI 2025 Bofya ... Soma zaidi
Advertisements
Karibu
Mnakaribishwa kwenye Tovuti ya Wizara ya Maji. Maji ni hitaji la msingi na haki kwa binadamu wote. Tafadhali yathamini, kuongeza matumizi yake na kuhifadhi kwa ajili ya mazingira. Kumbuka kwamba, maendeleo huja tu wakati kuna maji mengi yenye ubora. ...Soma zaidi