Maoni juu ya tovuti

50.41%
18.70%
30.89%
21.88%
25.00%
53.13%
40.38%
11.54%
48.08%
Generic placeholder image
Naibu Waziri Aweso Avunja Kamati ya Maji Rutemba

​Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso amevunja kamati ya maji katika Mradi wa Maji Rutemba kutokana na utendaji usioridhisha na kusababisha maendeleo ya mradi kusuasua.... Soma zaidi

Imewekwa: 14th Dec 2018
Generic placeholder image
Naibu Waziri Aweso aanza Ziara ya Kikazi Lindi

Naibu wa Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso ameanza ziara ya kikazi ya kukagua miradi ya maji katika mkoa wa Lindi kwa kutembelea Miradi ya Ng’apa, Kimeng’ene na Chikonji na kuagiza hatua zichukuliwe ku...... Soma zaidi

Imewekwa: 14th Dec 2018
Generic placeholder image
Profesa Mbarawa Akagua Maendeleo ya Ujenzi wa Ofisi za Wizara ya Maji Ihumwa

Waziri wa Maji, Mhe. Profesa Makame Mbarawa amefika eneo la Ihumwa kukagua maendeleo ya ujenzi wa ofisi za Wizara ya Maji katika mji wa Serikali kwa nia ya kujionea hatua iliyofikiwa. ... Soma zaidi

Imewekwa: 12th Dec 2018
SERIKALI KUHAMASISHA SEKTA BINAFSI KUSHIRIKI KATIKA MAENDELEO YA SEKTA YA MAJI

Tunapenda kuujulisha umma kuwa Wizara ya Maji na Umwagiliaji kwa kushirikiana na Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji na Washirika wa Maendeleo wa Sekta ya Maji wam...... Soma zaidi

19th Jul 2018 Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.

Advertisements

NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA MAJI YA TAIFA

Katibu Mkuu, Wizara ya Maji anatangaza nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Maji ya Taifa (National Water Board). Bodi hii... Soma zaidi

Oct 08, 2018
NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA MAJI YA TAIFA

Katibu Mkuu, Wizara ya Maji na Umwagiliaji anatangaza nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Maji ya Taifa (National Water B... Soma zaidi

Jul 13, 2018
SERIKALI KUHAMASISHA SEKTA BINAFSI KUSHIRIKI KATIKA MAENDELEO YA SEKTA YA MAJI

TAARIFA KWA UMMA

Tunapenda kuujulisha umma kuwa... Soma zaidi

Jul 09, 2018

Karibu

Mnakaribishwa kwenye Tovuti ya Wizara ya Maji. Maji ni hitaji la msingi na haki kwa binadamu wote. Tafadhali yathamini, kuongeza matumizi yake na kuhifadhi kwa ajili ya mazingira. Kumbuka kwamba, maendeleo huja tu wakati kuna maji mengi yenye ubora. ...Soma zaidi

Vyanzo vya Maji Tanzania

Waliotembelea Tovuti