Maoni juu ya tovuti

52.13%
17.73%
30.14%
25.71%
22.86%
51.43%
40.35%
10.53%
49.12%
Generic placeholder image
MFANYAKAZI BORA WA WIZARA KWA MWAKA 2017 – 2018

Wizara ya Maji imempa tuzo na fedha shilingi milioni 2 mfanyakazi wake bora kwa mwaka 2017 – 2018 ambaye ni Bw. Heriel Msangi kwa kusimamia Maadili ya Utumishi wa Umma na kulinda rasilimali za serika...... Soma zaidi

Imewekwa: 17th Jan 2019
Generic placeholder image
Muswada wa Sheria ya Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira wa Mwaka 2018 wawasilishwa kwa kamati

Wizara ya Maji imewasilisha Muswada wa Sheria ya Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira wa Mwaka 2018 (The Water Supply and Sanitation Bill, 2018) kwa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji...... Soma zaidi

Imewekwa: 15th Jan 2019
Generic placeholder image
NAIBU WAZIRI WA MAJI AMCHUKULIA HATUA MHANDISI WA MAJI SHINYANGA KWA KUSHINDWA KUKAMILISHA MRADI KWA WAKATI

Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso amesikitishwa na Mradi wa Maji wa Mwakitolyo kutotoa maji licha ya Serikali kuwa imeshatoa asilimia 98 ya fedha zote kwa ajili ya utekelezaji wake.... Soma zaidi

Imewekwa: 08th Jan 2019
SERIKALI KUHAMASISHA SEKTA BINAFSI KUSHIRIKI KATIKA MAENDELEO YA SEKTA YA MAJI

Tunapenda kuujulisha umma kuwa Wizara ya Maji na Umwagiliaji kwa kushirikiana na Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji na Washirika wa Maendeleo wa Sekta ya Maji wam...... Soma zaidi

19th Jul 2018 Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.

Advertisements

NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA MAJI YA TAIFA

Katibu Mkuu, Wizara ya Maji anatangaza nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Maji ya Taifa (National Water Board). Bodi hii... Soma zaidi

Oct 08, 2018
NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA MAJI YA TAIFA

Katibu Mkuu, Wizara ya Maji na Umwagiliaji anatangaza nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Maji ya Taifa (National Water B... Soma zaidi

Jul 13, 2018
SERIKALI KUHAMASISHA SEKTA BINAFSI KUSHIRIKI KATIKA MAENDELEO YA SEKTA YA MAJI

TAARIFA KWA UMMA

Tunapenda kuujulisha umma kuwa... Soma zaidi

Jul 09, 2018

Karibu

Mnakaribishwa kwenye Tovuti ya Wizara ya Maji. Maji ni hitaji la msingi na haki kwa binadamu wote. Tafadhali yathamini, kuongeza matumizi yake na kuhifadhi kwa ajili ya mazingira. Kumbuka kwamba, maendeleo huja tu wakati kuna maji mengi yenye ubora. ...Soma zaidi

Vyanzo vya Maji Tanzania

Waliotembelea Tovuti