The United Republic of Tanzania

Adverts

Ministry of Water is announcing the vacancies for Water Engineers

Kwa muda mrefu huduma ya maji kwenye miradi ya maji iliyoko vijijini imekuwa ikiendelea kupungua na mahali pengine miradi kutofanya kazi kabisa kutokana na sababu mbalimbali, zikiwemo kutosimamiwa vizuri na kukosa matengenezo muhimu. Katika baadhi ya maeneo, watumiaji wa maji wengine bado wana dhana kuwa jukumu la kuwapatia wananchi huduma ya maji ni la Serikali pekee, kama ilivyokuwa hapo awali. Aidha, katika baadhi ya maeneo, kuna mwamko usioridhisha kwa watumiaji maji kuchangia katika gharama za ujenzi na uendeshaji na matengenezo ya miradi ya maji. Upungufu huo umesababisha kuhitajika kwa mpango thabiti na endelevu wa uratibu na usimamizi wa utoaji wa huduma hii katika ngazi za kitaifa, mkoa na wilaya. Serikali imeandaa sera na mkakati utakaowezesha majukumu mbalimbali kutekelezwa katika ngazi husika.

Kwa taarifa zaidi bonyeza hapa

Publication of the Awards of Contracts According to Act. No. 21 of 2004 7(g) and Regulation (21:3) of GN No. 97 of 2005 and 22(3) & 67 (3) of GN No. 98 of 2005Contracts Awarded Between April 2014 and June. 2014

For more information cllick here

Publication of the awards of Contracts according to Act. No. 21 of 2004 7(g) and Regulation (21:3) of GN No. 97 of 2005 and 22(3) & 67 (3) of GN No. 98 of 2005 Contracts Awarded between October 2013 and March 201 4
For more information Click here

Kilimo ni uti wa mgongo wa Taifa letu, kinachangia pato la taifa kwa asilimia 45.1 kutokana na kuuzwa kwa mazao nje ya nchi, kodi itokanayo na mazao ya chakula na biashara pamoja na utoaji wa malighafi zinazotumika kwenye viwanda hapa nchini. .Kilimo kimekuwa na mchango mkubwa katika ukuzaji wa uchumi wa nchi na wa mtu mmoja mmoja ikilinganishwa na mchango utokanao na sekta zingine.
Kadri ya upatikanaji wa maji unavyopungua, uzalishaji wa mazao na ubora wa mifugo nao umepungua, hali ambayo imesababisha uhaba wa chakula kusuka kwa uchumi wa nchi na migogoro maeneo mbalimbali hapa nchini.

Kwa maelezo zaidi bonyeza hapa

Publication of the Awards of Contracts According to Act. No. 21 of 2004 7(g) and Regulation (21:3) of GN No. 97 of 2005 and 22(3) & 67 (3) of GN No. 98 of 2005 Contracts Awarded Between July 2015  and  October. 2015

For more information click here