Maoni juu ya tovuti

84.39%
5.03%
10.59%
39.34%
22.97%
37.69%
38.86%
25.66%
35.48%
Generic placeholder image
Ni Wakati Muafaka Kuimarisha Ushirikiano na Sekta Binafsi – Aweso

Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amesisitiza umuhimu wa ushirikishwaji wa Sekta Binafsi katika kuleta mapinduzi ya huduma za majisafi na usafi wa mazingira barani Afrika wakati akifungua rasmi Ko...... Soma zaidi

Imewekwa: 24th Nov 2025
Generic placeholder image
Waziri Aweso na RC Makalla wakubaliana Kuimarisha Ushirikiano Katika Usimamizi wa Sekta ya Maji Mkoani Arusha

Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Hamidu Aweso (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. CPA Amos Gabriel Makalla kuhusu hali ya upatikanaji wa huduma ya maji kwa wananchi na utek...... Soma zaidi

Imewekwa: 24th Nov 2025
Generic placeholder image
Aweso Aanza na Dodoma, Bilioni 62 Kutekeleza Miradi ya Muda Mfupi

Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso ameanza na mkakati mahususi wa kuboresha huduma ya maji kwa kutekeleza miradi ya muda mfupi yenye thamani ya shilingi bilioni 62 katika Jiji la Dodoma.... Soma zaidi

Imewekwa: 21st Nov 2025
RATIBA YA WIKI YA MAJI 22 MACHI 2025

RATIBA YA WIKI YA MAJI 22 MACHI 2025 Bofya ... Soma zaidi

20th Mar 2025 Mlimani City Dar Es Salaam

Advertisements

Maji na Safari ya Mapinduzi katika Huduma

Soma zaidi

Oct 21, 2025
Jarida Tando: Julai - Septemba 2025

Soma zaidi

Oct 14, 2025
Stakeholders Engagement Plan for Sustainable Rural Water Supply and Sanitation Program

Stakeholders Engagement Plan for RWSSP2 click Soma zaidi

Sep 09, 2025

Karibu

Mnakaribishwa kwenye Tovuti ya Wizara ya Maji. Maji ni hitaji la msingi na haki kwa binadamu wote. Tafadhali yathamini, kuongeza matumizi yake na kuhifadhi kwa ajili ya mazingira. Kumbuka kwamba, maendeleo huja tu wakati kuna maji mengi yenye ubora. ...Soma zaidi

Vyanzo vya Maji Tanzania

Waliotembelea Tovuti