Maoni juu ya tovuti

82.84%
5.47%
11.69%
40.35%
25.13%
34.53%
40.41%
23.97%
35.62%
Generic placeholder image
Bwawa la Farkwa: Mradi wa Kimkakati wa Huduma ya Maji Wasaini Mkataba wa Ujenzi

​Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb), amesema kuwa ujenzi wa Bwawa la Farkwa ni mpango mkakati wa Serikali wenye lengo la kutatua changamoto ya muda mrefu ya upatikanaji wa maji katika Jiji la Dodom...... Soma zaidi

Imewekwa: 16th Jul 2026
Generic placeholder image
Wataalam wa RUWASA Wanolewa Kuandaa Mipango Kabambe ya Maji na Usafi wa Mazingira

Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA), kwa kushirikiana na Shirika la Water for People Tanzania, umeendesha mafunzo maalum kwa wataalam wanaounda Timu ya Uandaaji wa Mipango Kabambe y...... Soma zaidi

Imewekwa: 16th Jul 2026
Generic placeholder image
Serikali Yasaini Ruzuku ya Sh. Bil 60.7 Na Ujerumani Kuboresha Huduma ya Maji Tunduma na Vwawa–Mlowo

​Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesaini mkataba wa ruzuku na Serikali ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani wenye thamani ya Euro milioni 20, sawa na takribani shilingi bilioni 60.7, kwa...... Soma zaidi

Imewekwa: 16th Jul 2026
RATIBA YA WIKI YA MAJI 22 MACHI 2025

RATIBA YA WIKI YA MAJI 22 MACHI 2025 Bofya ... Soma zaidi

20th Mar 2025 Mlimani City Dar Es Salaam

Advertisements

Jarida Tando, Aprili - Juni 2026

Soma zaidi

Jul 16, 2026
Hati Idhini 2025

Soma zaidi

May 26, 2026
Hotuba ya Bajeti 2026/27

Bofya ku... Soma zaidi

May 05, 2026

Karibu

Mnakaribishwa kwenye Tovuti ya Wizara ya Maji. Maji ni hitaji la msingi na haki kwa binadamu wote. Tafadhali yathamini, kuongeza matumizi yake na kuhifadhi kwa ajili ya mazingira. Kumbuka kwamba, maendeleo huja tu wakati kuna maji mengi yenye ubora. ...Soma zaidi

Vyanzo vya Maji Tanzania

Waliotembelea Tovuti