Wizara
Hotuba Za Bajeti
Nifanyaje?
Maoni juu ya tovuti
Wataalamu wa Sekta ya Maji Wapatiwa Mafunzo ya Kuimarisha Usimamizi wa Ubora wa Maji katika Mabwawa Madogo
Wataalamu kutoka Sekta ya Maji wamepatiwa mafunzo maalumu yenye lengo la kujenga uelewa wa pamoja kuhusu namna bora ya kuandaa mpango wa kutathmini na kufuatilia ubora wa maji katika mabwawa madogo nc...... Soma zaidi
Wadau wa Sekta ya Maji Wasisitizwa Kushirikiana Kutatua Changamoto za Rasilimali za Maji
Wadau wa Sekta ya Maji nchini wametakiwa kuimarisha ushirikiano na kufanya kazi kwa pamoja katika kutafuta na kutekeleza suluhisho la changamoto mbalimbali zinazokabili usimamizi, uhifadhi na uendelez...... Soma zaidi
WaterAid Yakabidhi Mradi wa Maji Wenye Thamani ya Shilingi Milioni 465 Handeni
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Mwajuma Waziri, amepokea rasmi Mradi wa Usambazaji wa Huduma ya Maji ya Mtandao wa Mabomba wa Kwamaizi uliotekelezwa katika Kata ya Kideleko, Halmashauri ya Mji...... Soma zaidi
RATIBA YA WIKI YA MAJI 22 MACHI 2025
RATIBA YA WIKI YA MAJI 22 MACHI 2025 Bofya ... Soma zaidi
Advertisements
Karibu
Mnakaribishwa kwenye Tovuti ya Wizara ya Maji. Maji ni hitaji la msingi na haki kwa binadamu wote. Tafadhali yathamini, kuongeza matumizi yake na kuhifadhi kwa ajili ya mazingira. Kumbuka kwamba, maendeleo huja tu wakati kuna maji mengi yenye ubora. ...Soma zaidi

