Wizara
Hotuba Za Bajeti
Nifanyaje?
Maoni juu ya tovuti
Wakazi Zaidi ya 64,000 Manyoni Kunufaika na Mradi wa Maji
Timu ya wataalamu kutoka Wizara ya Maji, Wizara ya Mambo ya Nje, wakandarasi pamoja na Afisa Balozi wa India nchini Tanzania, Rajnish Kumar, na Mwakilishi wa Serikali ya India kutoka Benki ya Exim, Bw...... Soma zaidi
Naibu Waziri wa Maji Aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji Bunda
Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew, ameweka jiwe la msingi la Mradi wa Uboreshaji wa Mtandao wa Mabomba wa Mingungani–Kaswaka wilayani Bunda, mkoani Mara, unaolenga kupunguza upotevu wa maji...... Soma zaidi
Mhandisi Mwajuma Awasisitiza Wataalamu Kushirikiana Katika Mradi wa Maji wa Miji 28
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Mwajuma Waziri, amewataka wataalamu wanaotekeleza Mradi wa Maji wa Miji 28 kufanya kazi kwa kushirikiana ili kuhakikisha mradi huo unakamilika kwa wakati.... Soma zaidi
RATIBA YA WIKI YA MAJI 22 MACHI 2025
RATIBA YA WIKI YA MAJI 22 MACHI 2025 Bofya ... Soma zaidi
Advertisements
Karibu
Mnakaribishwa kwenye Tovuti ya Wizara ya Maji. Maji ni hitaji la msingi na haki kwa binadamu wote. Tafadhali yathamini, kuongeza matumizi yake na kuhifadhi kwa ajili ya mazingira. Kumbuka kwamba, maendeleo huja tu wakati kuna maji mengi yenye ubora. ...Soma zaidi

